MASHINDANO YA PHINU ACADEMIC YAPAMBA MOTO MKOANI KATAVI

MASHINDANO YA PHINU ACADEMIC YAPAMBA MOTO MKOANI KATAVI

Mashindano hayo yamefanyika leo ijumaa katika viwanja vya Magamba sekondari ambapo kawalyowa sekondari waliibuka washindi wa shindano hilo na kujinyakulia zawadi mbalimbali zilizokuwa zimeandaliwa na wadhamini mbalimbali shuleni hapo, huku Magamba sekondari wakipatiwa kinyago cha kushindwa shindano hilo