SEKTA YA UCHUKUZI KATAVI YAPAA

BANDARI YA KAREMA YAWA GUMZO KATIKA USAFIRISHAJI

Naibu Waziri wa uchukuzi Dr David Kihenzile amefanya ziara katika bandari ya karema iliyopo mkoani Katavi kwaajili ya kufanya ukaguzi wa meli nne za mizigo zinazo Fanya shughuli safari zake kutokea Tanzania kuelekea congo DRC na kushukuru serikali kwa kuendelea kurekebisha miundombinu ya bandari ikiwemo Barabara inayotokea kagwila hadibandari ya karema nyenye urefu wa kilomita 112

Soma zaidi
Matangazo ya Moja kwa Moja

Kombe la Dunia la Soka 2026

Fuata matangazo ya moja kwa moja ya michezo yote ya Kombe la Dunia kupitia Phinu TV na Phinu Radio.

Tazama Michezo
4K/8K Broadcasting

Teknolojia ya Kisasa ya Media

Phinu Media inatumia teknolojia ya kisasa ya 4K/8K kwa matangazo ya TV na ubora wa juu wa sauti kwenye redio.

Pata Maelezo

HII NDIO HIFADHI YA KATAVI

Hifadhi ya Taifa ya Katavi ni moja ya hifadhi kubwa na za kipekee nchini Tanzania, iliyopo mkoani Katavi, magharibi mwa nchi. Hifadhi hii ilisimamiwa na kuanzishwa rasmi mwaka 1974 na inasimamiwa na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Ina ukubwa wa takribani kilometa za mraba 4,471 na ni miongoni mwa hifadhi tano kubwa nchini. Katavi inajulikana kwa wanyamapori wengi katika mazingira asilia yasiyo na msongamano wa watalii. Inahifadhi makundi makubwa ya nyati, tembo, viboko na mamba, hasa katika mabonde ya mito ya Katuma na maziwa ya msimu kama Chada na Katavi. Kwa upekee wake wa ukimya wa pori halisi (untouched wilderness), Katavi ni kivutio muhimu cha utalii wa picha na utafiti wa wanyamapori, na ina mchango mkubwa katika uchumi wa utalii wa Tanzania.

Soma zaidi

TAZAMA TEMBO WAKUBWA NDANI YA HIFADHI YA KATAVI

Hifadhi ya Taifa ya Katavi ni moja ya hifadhi kubwa na za kipekee nchini Tanzania, iliyopo mkoani Katavi, magharibi mwa nchi. Hifadhi hii ilisimamiwa na kuanzishwa rasmi mwaka 1974 na inasimamiwa na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Ina ukubwa wa takribani kilometa za mraba 4,471 na ni miongoni mwa hifadhi tano kubwa nchini. Katavi inajulikana kwa wanyamapori wengi katika mazingira asilia yasiyo na msongamano wa watalii. Inahifadhi makundi makubwa ya nyati, tembo, viboko na mamba, hasa katika mabonde ya mito ya Katuma na maziwa ya msimu kama Chada na Katavi. Kwa upekee wake wa ukimya wa pori halisi (untouched wilderness), Katavi ni kivutio muhimu cha utalii wa picha na utafiti wa wanyamapori, na ina mchango mkubwa katika uchumi wa utalii wa Tanzania.

Soma zaidi

RAIS SAMIA AKIWASILI MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.

Tazama sasa

TANZIA: WILLIA LUKUVI AFARIKI DUNIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi (70) amefariki dunia saa 1:00 asubuhi ya leo Jumatano, Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Soma zaidi

RUNGWA SEKONDARI YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA PHINU ACADEMIC SHOWDOWN

Shule ya Sekondari Rungwa imeibuka mshindi katika muendelezo wa mashindano ya kitaaluma ya Phinu Academic Showdown yaliyofanyika wiki hii Mkoani Katavi. Katika mchuano huo mkali, Rungwa Sekondari ilifanikiwa kuishinda Shule ya Sekondari Usimbili na kujinyakulia zawadi mbalimbali.

Tazama sasa

MPANDA DAY YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA MWANGAZA KATIKA MDHALO WA PHINU ACADEMIC SHOWDOWN

Shule ya Sekondari Mpanda Day imeanza vyema mashindano ya kitaaluma Mkoani hapa baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Shule ya Sekondari Mwangaza katika mdahalo mkali ulioratibiwa na kampuni ya Phinu Media.

Soma zaidi
BREAKING NEWS
• TANZANIA YAOMBOLEZA: ALIYEKUWA MBUNGE WA KILWA KUSINI, SELEMANI BUNGARA ‘BWEGE’ AFARIKI DUNIA MUHTASARI
Latest Updates

Habari Za Hivi Punde

Pata habari za kisasa na zenye umuhimu kutoka pande zote za dunia

Huduma Zetu za Media

Phinu Media inatoa huduma za kisasa za media kwa ubora wa hali ya juu

Phinu TV Broadcasting

Transmissions za televisheni zenye ubora wa 4K/8K kwa watazamaji milioni duniani.

Tazama Sasa

Phinu Radio Network

Mito ya redio ya kisasa inayofikia nchi zaidi ya 150, matangazo ya habari na muziki 24/7.

Sikiliza Sasa

Video Production

Uzalishaji wa video za matangazo, filamu, makala na maonyesho ya televisheni.

Tazama Video

Matangazo ya Moja kwa Moja

Tazama na usikilize matangazo yetu ya moja kwa moja 24/7

Phinu TV

03:01 EAT

Phinu TV 1 - Habari

Tangazo la moja kwa moja la habari na matangazo ya kisasa 24/7

Phinu TV 1 - Habari

TV Channel

Phinu Sports TV

TV Channel

LIVE: FUATILIA UZINDUZI WA ZOEZI LA USAJILI WA WANUFAIKA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE MKOA WA KATAVI

PHINU MEDIA

LIVE: FUATILIA UZINDUZI WA ZOEZI LA USAJILI WA WANUFAIKA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE MKOA WA KATAVI

PHINU MEDIA

FUATILIA MDAHALO KATI YA MWANGAZA SEKONDARI NA MPANDA DAY SEKONDARI.

FUATILIA MCHUANO MKALI WA KITAALUMA KATI YA RUNGWA SECONDARY NA USIMBILI SECONDARY

PHINU MEDIA

WAZIRI MKUU AONGOZA MAOMBOLEZO YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI

Phinu Radio

03:01 EAT

Phinu Radio 1

Matangazo ya habari na mazungumzo 24/7

Phinu Radio 1

99.5 FM

Phinu Radio 2 - Muziki

101.2 FM

mchezo wa leo

99.3 fm

Media & Production Services

Tunatoa huduma za uzalishaji wa maudhui ya habari, sauti, video na picha kwa ubora wa hali ya juu kwa taasisi, makampuni na watu binafsi.

Habari & Makala

Uandishi na uchapishaji wa habari, makala maalum, maudhui ya tovuti na taarifa za taasisi kwa mtindo wa kitaalamu.

omba huduma

Video & Audio Production

Huduma za kurekodi, kuhariri na kutayarisha video na sauti kwa matangazo, vipindi, nyimbo na maudhui ya kidijitali.

omba huduma

Photoshoot

Upigaji wa picha za kitaalamu kwa matukio, bidhaa, wasifu binafsi na matumizi ya matangazo au mitandao ya kijamii.

omba huduma

Advertising & Stage Services

Tunasaidia biashara na matukio kufikia hadhira yao kupitia matangazo ya ubunifu na maandalizi ya jukwaa kwa viwango vya kisasa.

Audio & Video Adverts

Utayarishaji wa matangazo ya sauti na video kwa redio, televisheni na mitandao ya kijamii kwa lengo la kukuza biashara na huduma.

Omba Huduma

Sound Stage

Maandalizi ya jukwaa, usambazaji wa sauti na taa kwa matamasha, mikutano, uzinduzi wa bidhaa na matukio maalum.

Omba Huduma

Wanachosema Wateja Wetu

Maoni kutoka kwa wateja wetu wa kudumu na washirika